Dully Sykes – Michelle Sabeneiya Ft. Christian Bella x Mzee Yusuph
Dully Sykes – Michelle Sabeneiya Ft. Christian Bella x Mzee Yusuph

Dully Sykes – Michelle Sabeneiya Ft. Christian Bella x Mzee Yusuph

Spread the love

Download Dully Sykes – Michelle Sabeneiya Ft. Christian Bella x Mzee Yusuph mp3
Dully Sykes – Michelle Sabeneiya Ft. Christian Bella x Mzee Yusuph

Bongo flava prince Dully Sykes premieres a new song entitled “Michelle Sabeneiya” in collaboration with fellow Tanzanians Christian Bella and Mzee Yusuph.

Interested in “Michelle Sabeneiya” lyrics as well? It is right here on Wanamuziki.

Dully Sykes is said to be the originator of Bongo flava (also called bongo flavor or Tanzanian hip-hop), but many dispute this. Well, true or not, there’s no disputing his musical gift and musical appeal.

The Dully Sykes new song “Michelle Sabeneiya” appeared on YouTube 2 May 2020 to a warm reception. You should love your encounter with its banging beats.

By the way, the guests on “Michelle Sabeneiya,” Christian Bella & Mzee Yusuph, are themselves fine artistes, as should be apparent from listening to the song.

Pause. Tap play. Vibe with “Michelle Sabeneiya” by Dully Sykes Ft. Christian Bella & Mzee Yusuph.

Dully Sykes Ft. Christian Bella x Mzee Yusuph – Michelle Sabeneiya Lyrics

Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Sabene, sabene sabeneiya
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
 
Mrembo wa kiafrika mwenye manjonjo sana
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Here kwako nimefika nakuomba njoo njoo mama
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
 
Sabe-sabe-sabe-sabeine-yaa
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Sabe-sabe-sabe-sabeine-yaa
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
 
Mtu mwenye sifa zote za kuwa mwanamke
Mrembo wa kiafrika Michelle sabeineiya
Nikilala usingizi namuota, Sabeneiya
Ni mwanamke wa ajabu sijapata awali kumuona
 
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Sabene, sabene sabeneiya
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
 
Mrembo wa kiafrika mwenye manjonjo sana
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Here kwako nimefika nakuomba njoo njoo mama
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
 
Sabe-sabe-sabe-sabeine-yaa
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Sabe-sabe-sabe-sabeine-yaa
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
 
Nilianza zako September
Ukanipaga remba November
Ukaja kutenda December
Nakupenda mtoto huna chemba
 
Mtoto wa ki-Pemba
Ulinipa bam bam mimi
Sikutaka kulemba
Nikakupa Tam tam chini
 
Nii, nii nii nii
Nii my amor
 
Kiuno kabisa unakata
Unanipa mpaka nadata
Burudani kahawa kashata
Mpaka mwisho hahahahaha
 
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Sabene, sabene sabeneiya
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
 
Mrembo wa kiafrika mwenye manjonjo sana
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Here kwako nimefika nakuomba njoo njoo mama
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
 
Sabe-sabe-sabe-sabeine-yaa
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
Sabe-sabe-sabe-sabeine-yaa
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya
 
Aah hujaamua kuwa tende
Umenifanya nikupende
Aaah Sabene aah
 
Mimi kwa kweli unaniua
Unanimaliza unavyonukia
Usije ukaniacha ukaniacha
Ukaja ukaniua
 
Mgonjwa halua, halua
Vitu laini unajua
Mchakula, mchakula
Mchakula, mchakula aah pagande sasa
 
Sabe-sabe-sabe-sabeine-yaa
Michelle sabene- Michelle Sabeneiya


Spread the love

Join the conversation by dropping a line here...