
Respected Tanzanian rapper Joh Makini presents a mellifluous tune titled “Kiwembe” in collaboration with compatriot Lady Jaydee.
The Joh Makini new song “Kiwembe” may be called a track of family as well as a track of experience. Familial lines just cannot be missed in the song, and you won’t be wrong to say Joh Makini mirrors some of his experiences here.
Considered one of Tanzania’s notable musicians, Joh Makini is a member of WEUSI, the go-to group in the East African country. The members in the group include G Nako, Lord Eyes and Nikki Wa Pili.
The guest artiste on “Kiwembe,” Lady Jaybee, is controversial in her person as well as in her songs. Her energy is palpable in this collaborative single.
Check out “Kiwembe” lyrics here on #Wanamuziki.
Joh Makini Ft. Lady Jaydee – Kiwembe Lyrics
(Oh nah nah nah nah nah aah) Asante Mungu Baba uliye mwema Nimeiona siku nyingine ya furaha Hali sio haba sio njema Wa kuniponya nipate hata chembe ya furaha Maana wazazi wananitegemea Na ninakaribia mi kuitwa Baba Nami ndunguzo waloegemea Sina kitu nimechalala nimevava Uniepushe mabaya dunia Yasijenikumba Napiga goti kwa uchungu nalia Ni nusuru muumba Katu nisikate tamaa Niende kusaka tonge Nipate ama nishinde njaa Moyoni upige konde, ni sawa eh! Ni sawa, ni sawa Nami nitafika (Ata nikikosa sawa) Ni sawa, ni sawa Nami mimi utanipa (Ah ridhiki we ndo unayegawa) Sawa, ni sawa Nami nitafika (Mwanadamu hawezi panga) Ni sawa, ni sawa Nami mimi utanipa (Sitozuguka kwa waganga) Natapa tapa elimu sina Mi kusoma sijasoma Nami nasaka nijenge heshima Mi nakoma ju wananichoma Ni wewe pekee ndo naye jua Ah mbele yangu na nyuma yangu Mie mpweke naomba dua Ah Baba fungua ridhiki zangu Nashukuru Baba, pumzi unayonipa Maisha naendelea Ila kingine Baba, nadhalilika Huu mzigo unanielemea Baba niwewe Baba (Ni wewe) Niwe ndo msaada (Ni wewe) Ni wewe, ni wewe Baba ni wewe Uniepushe mabaya dunia Yasijenikumba Napiga goti kwa uchungu nalia Ni nusuru muumba Katu sikate tamaa Niende kusaka tonge Nipate ama nishinde njaa Moyoni upige konde Ni sawa, ni sawa Nami nitafika (Ata nikikosa sawa) Ni sawa, ni sawa Nami mimi utanipa (Ah ridhiki we ndo unayegawa) Sawa, ni sawa Nami nitafika (Mwanadamu hawezi panga) Ni sawa, ni sawa Nami mimi utanipa (Sitozuguka kwa waganga)