
Diamond Platnumz Magufuli Song
WCB Wasafi boss Diamond Platnumz‘s Magufuli song takes off from where those of his compatriots left. Titled “Magufuli Baba Lao,” this new tune praises Tanzania’s dominant party, the CCM (Chama Cha Mapinduzi), which translates to “Party of the Revolution” in English, and its leader, the president of Tanzania, John Magufuli.
The title of the song presupposes the Tanzanian president is at the top and doing well.
Other Tanzanians who had released a song in praise of the president and his ruling party include Konde boy Harmonize, Nandy, Mbosso, and Beka Flavour.
The “Magufuli Baba Lao” song follows Diamond Platnumz’s guest appearance on Rayvanny’s soaraway “Amaboko” single, which is currently trending in Tanzania and elsewhere.
Wouldn’t you rather vibe with Diamond’s song? Come on.
Diamond Platnumz – Magufuli Baba Lao Lyrics
ts S2kizzy beiby) (Ayolizer) Magufuli baba lao (Baba lao) Joseph baba lao (Baba lao) John Pombe baba lao (Baba lao) Magu baba lao (Baba lao) Eeeh Ma Samia mama lao (Mama lao) Majaliwa baba lao (Baba lao) Bashiru baba lao (Baba lao) CCM chama lao Kona kwa kona, chocho tuchocho Kwa wakubwa mpaka watoto Magu anazidi pamba moto Wapinzani matumbo joto Mmechoka eti? (Aaah wapi) Mnataka lala? (Aaah wapi) Wapinznai watatuzidi? (Aaah wapi) Wataweza huu muziki? (Aaah wapi) Sasa twende kisa mjini sambamba Magu anazidi bamba Anafufua na viwanda Ndege zetu tunapanda Wataweza kweli? (Aaah wapi) Kushindana nasi (Aaah wapi) Hata wakiungana (Aaah wapi) Matusi kututukana (Aaah wapi) Magufuli baba lao (Baba lao) Joseph baba lao (Baba lao) John Pombe baba lao (Baba lao) Magu baba lao (Baba lao) Eeeh Ma Samia mama lao (Mama lao) Olepole baba lao (Baba lao) Mzee Mangula baba lao (Baba lao) CCM chama lao Majib Selema Hadija Selema (Selema) Wananchi wamesema Tunashinda tena (Eeh tena) Wanadhani kura mseleleko Eeeh tunawakwepa Watabaki masononeko Eeeh tunawacheka Kwanza kunja gaju (Eeh kunja gaju) Nikupe mikakati (Eeh mikakati) Ameleta mwendo kasi Barabara juu na kati Eeh shule za kata (Ni bure) Sekondari (Ni bure) Hospitali (Ni bure) Kwa wazee (Ni bure) Sisi twashinda tena Sisi CCM twashinda tena eeh Magu anashinda tena Magu Magu anashinda tena eeh Samia anashinda tena Mama Samia anashinda tena Sisi twashinda tena Sisi CCM twashinda tena eeh Magufuli baba lao (Baba lao) Joseph baba lao (Baba lao) John Pombe baba lao (Baba lao) Magu baba lao (Baba lao) Eeeh Makonda baba lao (Mama lao) Eri James baba lao (Baba lao) Juma Mabogi baba lao (Baba lao) CCM chama lao Mzuka ukipanda Na hili shati navua (Acha uongo) Mzuka ukipanda Na hili bukta navua(Acha uongo) Jamani navua (Acha uongo) Mama navua (Acha uongo) Mwenzenu navua (Acha uongo) Eeeh kuna BASATA! Basi napiga Yope (Huwezi) Oooh napiga Yope (Huwezi) Magu napiga Yope (Huwezi) Ma Samia napiga Yope (Huwezi) Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh!..Eeeeeh! Eh! Eh! Eh! Eh Eh… Eeeh! Wabunge napiga Yope (Huwezi) Madiwani napiga Yope (Huwezi) Wajumbe napiga Yope (Huwezi) Wenyekiti napiga Yope (Huwezi) Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh!..Eeeeeh! Eh! Eh! Eh! Eh Eh… Eeeh!
Stream Diamond Platnumz’s Magufuli Baba Lao song by tapping the play button on the embedded player below.